miss chuga
JF-Expert Member
- Dec 25, 2019
- 303
- 660
Duh! Hapo ndo mtihan unapoanzia, vipi sahivi wewe unatumia serum gan? Yan mpaka mtu upate ktu Cha kukuweka vizuri ni kazi sanaInadepend na ngozi yako mimi ilinikataa ikanipa mapele ya kutosha nikampa mtu mwingine akaglow vizuri tu
Mimi naitumia muda sana iko vzr sana ila pia inategemea na ngozi ya mtuHabari wapenzi?
Nmekuwa nikiona mitandaoni watu wakiitangaza serum ya wix kuwa ni nzuri kwa kutoa mikunjo usoni, je kwa mliowahi kuitumia ni kweli inatoa mikunjo usoni ?
Nataka kwanza nipate ushuhuda kwa waliotumia kabla sijanunua maana haya Mambo ya biashara unaweza ukanunua alafu kumbe wanaisifia tu uongo ili wapate wateja