Waliowai kulima nyanya Mkoani Mbeya tupeane ushauri msimu gani wa kulima na vitu gani vya kuzingatia

Waliowai kulima nyanya Mkoani Mbeya tupeane ushauri msimu gani wa kulima na vitu gani vya kuzingatia

Official Ric

Member
Joined
Jun 20, 2024
Posts
31
Reaction score
75
Wapendwa Habari zenu

Poleni na majukumu ya kulijenga Taifa.

Lengo la huu uzi ningeomba kwa wale waliowai kulima nyanya Mkoani Mbeya tupeane ushauri msimu gani wa kulima na vitu gani vya kuzingatia ili tumsaidie mtu mwenye nia ya kulima nyanya

Na pia tujuzane kuhusu masoko, pembejeo na Gharama na kima cha chini kwa mtu anayetaka kulima Angalau heka moja mpka Mbili.
 
Back
Top Bottom