Jaman nipo kibaha pwani. Nimechaguliwa njombe sekondari. Natafuta m2 wa pande hz anaeenda huko. Au yule aliyemaliza apo anipe information za shulen huko

Infos gani unataka,
utakula katala kwa wingi,nyamagana ipo., usisahau kutembelea chaugingi
hahaa katala, chaugingi -ulanzi, chuo cha maendeleo mpechi- hiv/aids, nyamagana hapafai msitu wa ndovu ndio wenyewe.
aaah aaah kitu Mpechi....mi ile nimefika tu nikaanza kusikia mpechi mpechi...nikajiuliza mpechi ni nini hiki?
Infos gani unataka,
utakula katala kwa wingi,nyamagana ipo., usisahau kutembelea chaugingi
ni xcul nzuri nina washkaji walixoma hapo mie nikiwa tosa boyz. na xaxa niko nao hapa mjini dar.ila juhudi binafsi ndo mpango mzimer cwaju xcul ze2.all the bect mdogo wangu.
PCM Njombe 2005-2007,Shule nzuri however juhudi/kujituma kwako ndio mafanikio yako! Epuka disco za pale,huanza j5 mpaka j2,chaugingi,mpechi na chuo cha maendeleo kulipoteza wengi sana miaka yetu,
asante bro kwa info but kuna maneno cjayaelewa