Waliowasindikiza Esther Matiko na Bulaya bungeni wafutwa uanachama wa CHADEMA

Wamewaonea tu, siku hiyohiyo bungeni alionekana Elizabeth Mwakipesile akiwa kamsindikiza Mbunnge Sofia Mwakagenda. Mbona yeye hajafukuzwa?!
Kufanya kazi ya chama si usaliti , Mwakipesile tulimtuma kuchunguza wasaliti kutoka Mbeya na Songwe
 
Wamewaonea tu, siku hiyohiyo bungeni alionekana Elizabeth Mwakipesile akiwa kamsindikiza Mbunnge Sofia Mwakagenda. Mbona yeye hajafukuzwa?!
Vijana wa UVCCM muwe mnajitahidi kusoma jambo na kulielewa, umeambiwa CHADEMA mkoa wa mara ndio wamewafukuza wanachama wake, wewe unahoji kwanini wa mbeya hajafukuzwa?
 
Hivi bado chadema ipo ipo kumbe??
Nyumbu hovyo kabisa, wanaacha kuwafuta uwanachama waliosindikizwa wanawafuta waliowasindikiza. Hadi leo rufaa haisikilizwi kisa Mbowe anakula ruzuku.
 
Halafu mnadai hii SACCOSS ia demokrasia,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…