Waliowasindikiza Esther Matiko na Bulaya bungeni wafutwa uanachama wa CHADEMA

Acha kututoa kwenye reli. We r looking for our prezdaa health. Is he still alive?😁😁😁😁😀😀
 
Nyumbu hovyo kabisa, wanaacha kuwafuta uwanachama waliosindikizwa wanawafuta waliowasindikiza. Hadi leo rufaa haisikilizwi kisa Mbowe anakula ruzuku.
Mkuu wale walishafutwa uanachama yaani hyo appeal wakishinda ndio watarudishiwa till then wao ni independent kabisa pending appeal!!

Kma Sophia simba tu alivyotimuliwa ubunge wake ulikoma siku hyo hyo nashangaa kigugumizi kimetoka wapi kwa kina Mdee
 
Kwani huko chadema walikuwa wanalipwa kiasi gani, tujuzane hapa ili tuone kama wamepoteza masilahi au wamepunguziwa mzigo wa kujitolea?
Kwani wanasiasa wapo after money au power? Hvi Makonda au Kimei kugombea ubunge ni kwa ajili ya pesa?

Influence ikipotea money means nothing maana hautokua na mtaji wa kisiasa ili kukujebgea fursa za uongozi huko mbele.

Mfano Lipumba alipata Billions aliporudi CUF na kuwapora hta ruzuku but ssa ana kipi? Pesa ilimsaidia au political capital ndio imesababisha anguko lake?
 
Nadhani unaongea usichokijua, chini ya jua hakuna mwanadamu anyetaka kufanyia hasara tu, na kama yupo mtaje hata mmoja.
Huko chadema ni pesa ndo zimewavuruga sasa wewe unaongea nini hapo?
Wakati mnasema wananunulika sasa hapo yalikua maslahi ya chama au ni pesa kwanza?
 
Narudia tena kwa wanasiasa power comes first kabla ya hela. Wale walikubali kununuliwa sababu walihakikishiwa post zao za ubunge ila wangelipwa alafu wapishe wangekubali???

Of course ukishakua na power pesa itakuja tu automatically maana utakua na connection zote muhim za ndani na nje ya nchi. So power ni muhim zaidi kuliko pesa no wonder watu wako tayari kuhonga mpaka mamillion ili kupata tu udiwani ambao in turn hauna mshahara mkubwa hata!!

Hivi ina maana wanaoingia kwenye siasa hasa CCM ni maskini? Hvi maskini unaweza shinda kura za maoni CCM? Hao Wanafuata power sio pesa maana kma ni pesa si pesa wanayohonga wangefungua biashara kubwa tu mjini hapa!! Mtu aache ukurugenzi wa kampuni kubwa akimbilie ubunge kisa pesa?
 
Bravo and congratulations.
 
HAWA WADADA ITABIDI WASAMEHEWE.......TU MAANA WALIOWALAZIMISHA NA PENGINE KWA VITISHO NDIO HIVYO TENA ...HUU MSIBA UTATUWEKEA MAMBO MENGI WAZI ..WATU WAMETESEKA NA KUTISHIWA SANA HATA KWA WASIO YAAMINI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…