Waliozaa huwa hawaachani

Rahabu

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2014
Posts
5,526
Reaction score
3,341
Mu khali gan wana Cc nataka kuuliza hv kweli wapenzi wa zamani waliowahi kuzaa na kuachana hawawezi kuachana moja kwa moja. Lazima wanakumbushiana yale mambo yetu pindi napoonana
 
Mu khali gan wana Cc nataka kuuliza hv kweli wapenzi wa zamani waliowahi kuzaa na kuachana hawawezi kuachana moja kwa moja. Lazima wanakumbushiana yale mambo yetu pindi napoonana

Inategemeana mlivyoachana na pia hata committment zenu katika mahusiano yenu ya sasa na wala sio kanuni ya lazima muendeleze Libeneke.
 
Yeah, kunaukweli fulani, nyoka wa kufugwa lazima akumbuke msitu.
 
Kama wote hawako kwenye strong relationships lazima wakumbushiane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…