kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Ni vigumu wahuni wakaingia kariakoo nakufunga biashara za watu, waliofanya Yale Ni vyombo n walikuwa na maelekezo yakufanya hivyo. Kama ni wahuni Basi kamanda wa polisi ilala na hata kanda maalumu anafaa kutumbuliwa kwa kushindwa kusimamia ulinzi na kwa kutodhibiti uhalifu hata baada ya vyombo vya habari na social media kupaza sauti.
Lakini pia kauli ya RC kwamba yeye ndiye Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama inaashiria wapo watu waliotoa maelekezo hayo na Wapo nje ya kamati yake hivyo anawakumbusha kwamba yeye ndiye Mwenyekiti mamlaka yakiusalama ya jiji na si vinginevyo.
Aidha, nayatafsiri maelekezo ya RC Kama maelekezo ya mwenye nchi na yeye ametekeleza tu. Awamu zinabadilika na katika hiki kipindi Cha mpito Wapo watu wasipochukuliwa hatua wataendelea kufanya matendo yakupaka tope mamlaka iliyopo. Dola tiini mamlaka iliyopo na enendeni kwa kuzingatia mamlka iliyopo. Si kila kiongozi anapenda kuona kamata kamata zikiwa suluhu ya matatizo, Wapo viongozi wanapenda kamatakamata ifuate baada ya kukaidiwa kwa maelekezo.
Wapo watu watang'olewa kwenye viti vyao muda si mrefu.....ngoma imeanza