Walipa 2.35M Kusalimiana na Kupiga Picha na Chris Brown

Ego is the Enemy

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
8,201
Reaction score
16,246
Picha inajieleza Sasa wale kuwa toa hela ndio muone hapa. Nishawaambia hata Ronaldo christiano akimtaka mkeo anambeba fasta. Mademu Ni wa kuangalia value uliyo nayo. Mana value yako na yeye anakuwa sehemu yako. Wewe fukuza ndoto zako halafu wao watakufukuza kwa gharama zozote jamani.
Haya twende make your dream come true others will follow.
Screenshot_20220722-185405.png
Screenshot_20220722-185533.png
 
Wengine Jay z tulimuona dezo tu hapo kambwangwa alipozindua kisima cha maji akiwa na Beyonce

Kuna mambo mengine duniani tunayakuza tu na kuwapa hela watu
Kindezi

Ova
 
Kiukweli watu wana stress khatere, mara Jay-Z ghaflaa paap kawa breezy hatari sana hii kwa taifa kama mtu anaweza kupoteza kumbukumbu katikati ya maandishi dah
 
Picha inajieleza Sasa wale kuwa toa hela ndio muone hapa. Nishawaambia hata Ronaldo christiano akimtaka mkeo anambeba fasta. Mademu Ni wa kuangalia value uliyo nayo. Mana value yako na yeye anakuwa sehemu yako. Wewe fukuza ndoto zako halafu wao watakufukuza kwa gharama zozote jamani.
Haya twende make your dream come true others will follow.View attachment 2300216View attachment 2300217
Huyo mwenye nyekundu sio mchaga kweli!!?😃
 
Picha inajieleza Sasa wale kuwa toa hela ndio muone hapa. Nishawaambia hata Ronaldo christiano akimtaka mkeo anambeba fasta. Mademu Ni wa kuangalia value uliyo nayo. Mana value yako na yeye anakuwa sehemu yako. Wewe fukuza ndoto zako halafu wao watakufukuza kwa gharama zozote jamani.
Haya twende make your dream come true others will follow.View attachment 2300216View attachment 2300217

Tutafute pesa
 
Mimi nitalipa kupiga picha na ng'ombe wa Mayele.
 
Happy ndo UTakua akili za baadhi ya wanawake Ni za kipumbavu Sana[emoji3525]
 
Mademu Ni wa kuangalia value uliyo nayo. Mana value yako na yeye anakuwa sehemu yako. Wewe fukuza ndoto zako halafu wao watakufukuza kwa gharama zozote jamani.
Haya twende make your dream come true others will follow.
The bitter truth guys don wanna to listen 😅😅😅😅😅

Well said mtoa mada🔥🔥🔥🔥🔥
 
Back
Top Bottom