hawa jamaa wawili walikuja na kibao chao kimoja kinaitwa SEMA staili Ya Takeu wakipewa Biti na P funky aka majani,Ndani ya wimbo kuna maneno kama Mimi nalala chini lakini ni kweli yanakuhusu nn,Mm nakula Nyama...nk
wamepotelea wapi hawa majamaa mbona walikuja vizuri tuu..