Abby Newton
JF-Expert Member
- Nov 12, 2017
- 1,252
- 2,253
Nimeupenda sana huu msemo wa Ali Kamwe. Kamsemo kana ukweli eeeh!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimecheka sana hii [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimeupenda sana huu msemo wa Ali Kamwe. Kamsemo kana ukweli eeeh!
Mechi ambazo Yanga inafunga Simba chama akiwepo huwa Simba anatawala kila kitu mpaka Yanga wanaomba mpira uishe, yaani mpira Biriani Biriani haswa. Lakini leo mpira biriani ukahamia Jangwani na goli juuMara ngapi tumefungwa na Utopolo Chama kiwemo ndani.
Nikwambie tu hii Simba ni bora sana kuliko iliyopita.
Ila kocha nae anazingua na Mugalu wake, halafu mfumo uleule daily.
Weka takwimu za mchezo ili tuthibitishe kuwa hilo limebadilikaMechi ambazo Yanga inafunga Simba chama akiwepo huwa Simba anatawala kila kitu mpaka Yanga wanaomba mpira uishe, yaani mpira Biriani Biriani haswa. Lakini leo mpira biriani ukaamia jangwani na goli juu
Naomba kuuliza uyo alovaa suti ni Mr. Bean?Nimecheka sana hii [emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1952729
Bosi huyo[emoji16]Naomba kuuliza uyo alovaa suti ni Mr. Bean?
Nimecheka sana hii [emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1952729
Barabara anaupiga mwingi.
Bila shaka,wanaume wazima waliopo Utopoloni na midevu yao hawamuwezi,kaeni kusubiria mbeleko nyingine CL mwaka kesho
Mechi ambazo Yanga inafunga Simba chama akiwepo huwa Simba anatawala kila kitu mpaka Yanga wanaomba mpira uishe, yaani mpira Biriani Biriani haswa. Lakini leo mpira biriani ukaamia jangwani na goli juu