Waliuza Chama wakanunua mabasi

Mara ngapi tumefungwa na Utopolo Chama kiwemo ndani.

Nikwambie tu hii Simba ni bora sana kuliko iliyopita.

Ila kocha nae anazingua na Mugalu wake, halafu mfumo uleule daily.
 
Mara ngapi tumefungwa na Utopolo Chama kiwemo ndani.

Nikwambie tu hii Simba ni bora sana kuliko iliyopita.

Ila kocha nae anazingua na Mugalu wake, halafu mfumo uleule daily.
Mechi ambazo Yanga inafunga Simba chama akiwepo huwa Simba anatawala kila kitu mpaka Yanga wanaomba mpira uishe, yaani mpira Biriani Biriani haswa. Lakini leo mpira biriani ukahamia Jangwani na goli juu
 
Mechi ambazo Yanga inafunga Simba chama akiwepo huwa Simba anatawala kila kitu mpaka Yanga wanaomba mpira uishe, yaani mpira Biriani Biriani haswa. Lakini leo mpira biriani ukaamia jangwani na goli juu
Weka takwimu za mchezo ili tuthibitishe kuwa hilo limebadilika
 
Bila shaka,wanaume wazima waliopo Utopoloni na midevu yao hawamuwezi,kaeni kusubiria mbeleko nyingine CL mwaka kesho

Ndo ukamsaidie sasa ananyofolewa utumbo, kanjibahi hataki kuelewa.
 
Kolokwinyo plan yao siku hizi wakicheza na Yanga ni mirafu na kupanikisha wachezaji wa Yanga wapewe red kadi, Lwanga alistahili red toka first half alimpiga kibao Feisal ili apaniki amrudishie, akampiga kofi tena dakika za mwisho akala umeme mwenyewe, pale hamna mchezaji kuna mwanamieleka shwain
 
Mechi ambazo Yanga inafunga Simba chama akiwepo huwa Simba anatawala kila kitu mpaka Yanga wanaomba mpira uishe, yaani mpira Biriani Biriani haswa. Lakini leo mpira biriani ukaamia jangwani na goli juu

Naunga mkono hoja. Traditionally, Simba hucheza possession football na ndio mpira ulikuwa unaleta matokeo kiurahisi kwa Simba kwa muda sasa na hasa wakati wa Sven. Direct football inachosha sana na inahitaji kukimbia muda wote. Na ndio maana Yanga ilikuwa ikifika kipindi cha pili tu msimu uliopita walikuwa wote wanachoka na kupata matokeo yasiyoridhisha.

Kocha mpya wa Yanga hakutaka mpira huo na akaanza kuwafundisha possession football na hata ukiangalia kwa sasa Yanga hawabutui kivile kama walivyo kuwa msimu uliopita. Na hata biriani la hapa na pale wameanza kulitandika.

Sasa cha kushangaza ni kuona huyu kocha Gomes wa Simba si muumini wa pira biriani na anataka mipira iende mbele kwa ile mi-striker ya Simba ya isiyokuwa na tija kwa sasa kwani aliyekuwa anailisha mipasi ya magoli hayupo tena na pale mbele pamekuwa kizaazaa kitupu. Kuwa na mi-striker mingi kwa sasa ni kudhoofisha timu na hasa upande wa katikati na ikumbukwe kuwa Sven alikuwa anapanga viungo wengi na hivyo kulimiliki kabisa eneo hilo, na hii imeshuhudiwa leo pale eneo la katikati Yanga walipamiliki sana.

Tatizo liko kwa kocha Gomes na mfumo wake mbovu, angerudia tu mfumo wa awali uliofundishwa Sven wa possession football na striker mmoja ndio ambao ulileta mafaniko makubwa Simba. Na tatizo lingine ni la kumuacha Mugalu uwanjani akifanya madudu bila kumfanyia sub. Na aache tabia ya kukariri wachezaji kitu ambacho Sven alikuwa hafanyi na mara nyingi alikuwa akiwafanyia wachezaji rotation na kuwapa game time.

Kwangu mimi Gomes hastahili kuwa kocha wa Simba.
 
Ndo soka ilo, kwani Chama angecheza Simba milele!
Mimi binafsi sijaona shida ya timu kwa perfomance ya uwanjani, timu ipo vizuri sana na maingizo haya mapya ya Sakho,Kanoute,Duncan,Inonga na Banda wapo vizuri ila kwenye soka kuna sehemu ya bahati pia.timu inaweza ikawa nzuri lakini bahati isiwe kwao.
 
Tulisha fungwa na Yanga tukiwa na Chama na Luizi.
Yanga wakicheza na Simba wanajituma sana.

Hivi Simba hatuna mshambuliaji zaidi ya Mugalu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…