Kumbe imekuuma namna hii. UtulieHabu fikiria timu ambayo zaidi ya miaka 20 haijatinga makundi club bingwa, walifanikiwa kucheza fainali ya CAF lakini eti ubora wao ni mkubwa kuliko aliyechukua kikombe.Aliyebeba kombe ni wa 10 huku wao ni wa 3.
Wakati CCM wanaanzisha shule ya Katiba miaka 3 ni vema tutumie nafasi hiyo kutoa elimu ya ushabiki wa soka Kwa miaka 2.Najua ukiwa chizi huwezi kuona kweli nyingi zaidi ya kuwa na picha ya uongo kuhusu we mwenyewe.
Kuna magonjwa ya akili yanasababisha kitu kinachoitwa "delusion of grandeur "
Mtu kujisikia ni muhimu kuliko uhalisia ulivyo.
Habu fikiria timu ambayo zaidi ya miaka 20 haijatinga makundi club bingwa, walifanikiwa kucheza fainali ya CAF lakini eti ubora wao ni mkubwa kuliko aliyechukua kikombe.Aliyebeba kombe ni wa 10 huku wao ni wa 3.
USM Algers pia wamefanikiwa kubeba ndoo dhidi ya Al ahly lakini kwa mujibu wa waliodanganywa,hawa sio bora kama wao.
Wenye akili wawili bado hawajasema, huenda wakisema tutaelewa.
Mmeumbuka mbwiga nyie, si mlisema Yanga alikutana na timu mbovu? Sasa mmeanza kujihami.Najua ukiwa chizi huwezi kuona kweli nyingi zaidi ya kuwa na picha ya uongo kuhusu we mwenyewe.
Kuna magonjwa ya akili yanasababisha kitu kinachoitwa "delusion of grandeur "
Mtu kujisikia ni muhimu kuliko uhalisia ulivyo.
Habu fikiria timu ambayo zaidi ya miaka 20 haijatinga makundi club bingwa, walifanikiwa kucheza fainali ya CAF lakini eti ubora wao ni mkubwa kuliko aliyechukua kikombe.Aliyebeba kombe ni wa 10 huku wao ni wa 3.
USM Algers pia wamefanikiwa kubeba ndoo dhidi ya Al ahly lakini kwa mujibu wa waliodanganywa,hawa sio bora kama wao.
Wenye akili wawili bado hawajasema, huenda wakisema tutaelewa.
Aahaaaa, inakuuumaaNajua ukiwa chizi huwezi kuona kweli nyingi zaidi ya kuwa na picha ya uongo kuhusu we mwenyewe.
Kuna magonjwa ya akili yanasababisha kitu kinachoitwa "delusion of grandeur "
Mtu kujisikia ni muhimu kuliko uhalisia ulivyo.
Habu fikiria timu ambayo zaidi ya miaka 20 haijatinga makundi club bingwa, walifanikiwa kucheza fainali ya CAF lakini eti ubora wao ni mkubwa kuliko aliyechukua kikombe.Aliyebeba kombe ni wa 10 huku wao ni wa 3.
USM Algers pia wamefanikiwa kubeba ndoo dhidi ya Al ahly lakini kwa mujibu wa waliodanganywa,hawa sio bora kama wao.
Wenye akili wawili bado hawajasema, huenda wakisema tutaelewa.
Aaaahaaa,kolo wanahofu kuwa tunaenda kuachieve kitu amabacho wao kimewashinda Kwa miaka nenda rudiBado hamjasema, tunatarajia mtasema zaidi. Msimu huu unao anza wa mashindano ya Caf tunakwenda kukaa pale juu kabisa.
Wale mnao waona wababe tunakwenda kuwatia adabu wote.
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Hahahahahaha, jamaa wamevaa mkenge wa kuanzisha Nyuzi za Yanga ,wakijua wanawaponda kumbe wanawapa AIRTIMEMtaendelea kutoka mapangoni wote
Scars tayari keshatoka
Namsubiri Okwi Boban,popoma, na Kolo 1979magufuli
Bado hamjasema kilichomtoa kanga manyoya
Mtatoka Sana mapangoni safari hii, mlisema yanga kacheza na timu dhaifu sasa leo mnajitokeza kwa aibu kutafuta kichaka kingine cha kujificha? Mbumbumbu ni mbumbumbu tu mnakuwaga na akili za kuvukia barabara tu!Najua ukiwa chizi huwezi kuona kweli nyingi zaidi ya kuwa na picha ya uongo kuhusu we mwenyewe.
Kuna magonjwa ya akili yanasababisha kitu kinachoitwa "delusion of grandeur "
Mtu kujisikia ni muhimu kuliko uhalisia ulivyo.
Habu fikiria timu ambayo zaidi ya miaka 20 haijatinga makundi club bingwa, walifanikiwa kucheza fainali ya CAF lakini eti ubora wao ni mkubwa kuliko aliyechukua kikombe.Aliyebeba kombe ni wa 10 huku wao ni wa 3.
USM Algers pia wamefanikiwa kubeba ndoo dhidi ya Al ahly lakini kwa mujibu wa waliodanganywa,hawa sio bora kama wao.
Wenye akili wawili bado hawajasema, huenda wakisema tutaelewa.
Zile kelele Yanga alikua anakutana na timu dhaifu huko kwenu bado unazisikia maana Yanga alimfunga huyo usm alger kwao na kama si uchawi wa mvua wa makolo Yanga angemfunga usm hapo taifa kama alivyofanya 2018Najua ukiwa chizi huwezi kuona kweli nyingi zaidi ya kuwa na picha ya uongo kuhusu we mwenyewe.
Kuna magonjwa ya akili yanasababisha kitu kinachoitwa "delusion of grandeur "
Mtu kujisikia ni muhimu kuliko uhalisia ulivyo.
Habu fikiria timu ambayo zaidi ya miaka 20 haijatinga makundi club bingwa, walifanikiwa kucheza fainali ya CAF lakini eti ubora wao ni mkubwa kuliko aliyechukua kikombe.Aliyebeba kombe ni wa 10 huku wao ni wa 3.
USM Algers pia wamefanikiwa kubeba ndoo dhidi ya Al ahly lakini kwa mujibu wa waliodanganywa,hawa sio bora kama wao.
Wenye akili wawili bado hawajasema, huenda wakisema tutaelewa.
Halafu wanakuja kulalamika kua media zinawapendelea Yanga wakati wao mashabiki wenyewe ndio wanaongoza kuisemea yangaHahahahahaha, jamaa wamevaa mkenge wa kuanzisha Nyuzi za Yanga ,wakijua wanawaponda kumbe wanawapa AIRTIME
wameisahau kabisa Timu yao
Bado mnaweweseka na rank za IFFHS tu? wakati hao hao IFFHS walipoweka rank kuwa Simba ipo juu zaidi ya Sevilla mbona hamkufungua nyuzi nyingi za kuwaponda IFFHS?Najua ukiwa chizi huwezi kuona kweli nyingi zaidi ya kuwa na picha ya uongo kuhusu we mwenyewe.