Walivyonifanyia mabinti, kabla na baada ya balehe

Tena mbaya zaidi wamezungusha
Wakati mwingine nakosa ladha ya mapenzi nikifikiria vitu kama hivi Ndio sababu bikra zimekuwa adimu sana kwa mabinti zetu tatizo ni sisi wazazi tunasihau sana na kuamini watoto wote ni sawa kumbe kuna watoto wahuni kama mleta mada
 
Hao madada ni machangu kabisa hawashikiki hayo masuala ya kujua na kuanza mapenzi mapema yapo sana pwani pwani na maeneo yenye maziwa waishio mwambao wa maziwa.
Maeneo hayo wengi hutolewa bikra mapema.
 
Wakati mwingine nakosa ladha ya mapenzi nikifikiria vitu kama hivi Ndio sababu bikra zimekuwa adimu sana kwa mabinti zetu tatizo ni sisi wazazi tunasihau sana na kuamini watoto wote ni sawa kumbe kuna watoto wahuni kama mleta mada
Hhaha Mkuu, nilikua nakumbwa na hizi kadhia bahati mbaya. Sikua nadhamiria.
Shetani tu huyu.
 
Ni kweli mkuu, hasa watoto wa kiume huwa ndio hawaangaliwi kabisa.
Nadhani hii inatokana na kutopata madhara ya haraka kama ilivyo kwa watoto wa kike.

Wazazi wanatakiwa kuwa makini sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…