Waliwahi kumpinga Aragija kwa barua, wakamalizana. Leo kawafaa

Waliwahi kumpinga Aragija kwa barua, wakamalizana. Leo kawafaa

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Hakuna adui wa kudumu bwana , hakuna mkate mgumu mbele ya chai, naaaam penye udhia penyeza rupia, hata watu wenye akili zao watajizima data, BOOOOM

Somo kwenu kina TRY AGAIN, fungueni booster sasa katoeni hela za M-BET huko benki sambazeni kwa hawa waamuzi ndicho wakitakacho na vichenchi vikibaki warushieni makanjanja machambuzi ili yawatetee waamuzi wakichemsha kama GIJA JIGA anavyotetewa leo

Na nyie azam jiongezeni basi mtasajili hata team nzima ya man city muilete hapa lakini lazima mzungumze kwa herufi kubwa, eboooo, kwani sh ngapi kuhonga?

aragija.JPG
 
Back
Top Bottom