Lycaon pictus JF-Expert Member Joined Jan 31, 2021 Posts 9,189 Reaction score 16,128 Apr 4, 2021 #1 Hii kampeni ya visit Tanzania imebackfire, balozi anapiga wageni badala ya kuwakarimu. Siku nyingine tuwe makini na watu tunaowapa majukumu ya kuwakilisha/kutangaza nchi.
Hii kampeni ya visit Tanzania imebackfire, balozi anapiga wageni badala ya kuwakarimu. Siku nyingine tuwe makini na watu tunaowapa majukumu ya kuwakilisha/kutangaza nchi.
Hplp2275H JF-Expert Member Joined Jan 21, 2021 Posts 556 Reaction score 1,660 Apr 4, 2021 #2 Utakuwa utopolo fc wewe