Wall plates hazijawekwa wakati wa kupiga kenchi, madhara ni yapi?

Wall plates hazijawekwa wakati wa kupiga kenchi, madhara ni yapi?

Kama beam haziko imara au hazipo kabisa, basi tegemea nyufa za mapema. Sababu, mzigo wa kenchi huwa unasambazwa na wall plate kwenye eneo kubwa la ukuta.

Kutokuweka wall plate inapelekea mzigo unakuwa concentrated sehemu moja na sio distributed. Kama beam ziko imara na umepaulia bati(sio kigae cha udongo au asbestos) hakuna shida ndugu.
 
Back
Top Bottom