Wall plates hazijawekwa wakati wa kupiga kenchi, madhara ni yapi?

Joined
Nov 23, 2013
Posts
79
Reaction score
119
Fundi wangu wa kupaua hajaweka wall plate wakati anapiga kenchi ..madhara ni yapi?
 
Kama beam haziko imara au hazipo kabisa, basi tegemea nyufa za mapema. Sababu, mzigo wa kenchi huwa unasambazwa na wall plate kwenye eneo kubwa la ukuta.

Kutokuweka wall plate inapelekea mzigo unakuwa concentrated sehemu moja na sio distributed. Kama beam ziko imara na umepaulia bati(sio kigae cha udongo au asbestos) hakuna shida ndugu.
 
Kiukweli imeniumiza kichwa., napaua kwa bati japo sijaridhika ila kisha piga kenchi tayari..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…