Wall putty vs white cement with gypsum powder

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Kipi kitakupa ubora ulio poa zaidi, isiokuwa na risk sana na yenye kukaa zaidi kwa muda mrefu.

Ukitumia wall puty alafu ndio upake rangi.

Au

utumie white cement na gypsum powder alafu ndio upake rangi.



Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Putty ndiyo mpango mzima ata akina dada wanapiga sana putty kwenye sura
 
Vipi kwa maeneo ambayo kuta zinashambuliwa na fungus?? Ipi itaondoa tatizo kati ya wall putty, gypsum powder na white cement?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…