Wallace Karia amesema hakutakuwa na matumizi ya VAR

Wallace Karia amesema hakutakuwa na matumizi ya VAR

Karia atakaria kuti kavu sio muda

Hajji Matower njoo huku. Yule mwenzio kaamka tena
 
Tukirudusha VAR nyuma team ya Yanga itarudisha makombe yote ya misimu minne akabiziwe Simba Azammajuha
 
BUDGET YA VAR BUNGE LIMEPITISHA✅

PESA WAMEPIGA, VAR AMNA ,

TUTAELEWANA TU NA KARIA

View attachment 3111360
Nilimsikia akisema kwamba, kwa bajeti iliyopo ni kutumia VAR kwa asilimia 60 kwa mechi za NBCPL kitu ambacho si sahihi. Nikaelewa kwamba,zile 40% za mechi zilizobaki watalalamika.

Hivyo VAR itatumika katika mashindano mfano ngao ya jamii kwa sababu itajitosheleza kwa asilimia 100.

Swali, je una uhakika pesa ilitolewa ya kutosheleza mechi zote?
 
why not use the 60 % of the games. and we see the weakness.
mwakani tuna improve. karia anatumia var na mke wake instead itumike na watu.

leo kuna game ya community shield ya yanga priceless na simba queens. VAR iko wapi??

karia must go.
 
Back
Top Bottom