Wallace Karia, kamati yako ilipitshaje watu wasio na vigezo? Jianadae kwa maswali haya

Wallace Karia, kamati yako ilipitshaje watu wasio na vigezo? Jianadae kwa maswali haya

BASIASI

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Posts
9,732
Reaction score
5,006
1) Katiba yenu iko Kiingereza sio wajumbe wote wanajua Kiingereza, je wasiojua wanaielewaje?

2) Kamati yako feki ilifanikiwa kuwaingiza kadhaa nyuma yako ingawa mchezo ulikuwa mwanzoni kabisa waseme wewe umepita bila kupingwa wakashauriwa mtaharibu.

Sasa hao mluopitisha imekuwaje hawana vigezo wakati wanawahoji hawakujua hawana vigezo?

Jiandae na kipengele cha wadhamini hiki nacho Mmkosikazi

Jiandaeni, jiandaeni. Hili mtakutana nalo mahakamani

Kila la kheri
 
Back
Top Bottom