Wallace Karia: Mimi sio Mwanachama wa Simba, mimi ni Mwanachama wa Coastal Union

Tu assume kwamba ni mpenzi wa Simba so what.Mbona Jamal Malinzi alikuwa kiongozi Yanga na akawa TFF. Leonard Tenga alikuwa mchezaji wa Yanga na akawa kiongozi wa TFF.
 
Basi tumeshajua.
Shabiki wa coastal union hawezi kuwa utopolo hata siku moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…