Wallace Karia: Msimu huu hakutakuwa na matumizi VAR Ligi Kuu

Nyakijooga

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2018
Posts
276
Reaction score
473
Kwan mbona hata yale marudio ya azam tv wakat wa mechi ni VAR tosha au ndo mpaka aanze kutumia mzungu mbona simple tu! Maana hata makosa mengi yanagundulika pale tu marudio yanapoonekana
 
Ni sawa maana huwezi tumia VAR kwa mkapa tu wakati viwanja vingine ni holaaaa
 
Karia aendelee kuipambania Simba msimu huu ipate hata kombe moja

USSR
 
Kwenye mechi ya kesho pata picha kungekuwa na VAR
 
Naona hii vAR ni siasa tu zinapigwa ila ukweli nchi yetu haina viwanja bora vya kuwezesha hii kitu iweze kutumika mechi zote, vingetengwa tu baadhi ya viwanja vitatu au vinne vitumike na siyo hizi porojo🚮🚮
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…