Wallace Karia, siri zinavuja sana hapo TFF, fukuza hao manazi wa Simba na Yanga, utanishukuru

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Habari kuwa Manara anafungiwa zilikwishajulikana mtaani na hata mwenyewe alijua, swali alijuaje, nani anavujisha siri za TFF, secretariat iliangalie hili, hao wachezaji wa zamani walioajiriwa hapo karume wanaimaliza TFF, taasisi itakosa nidhamu na ni hatari sana kwa usalama.

Asubuhi tu baada ya kamati kuitisha press habari kuwa jamaa anakula adhabu ishavuja, nani anafanya hivi na kwa maslahi ya nani?

Rais Karia, chunguza hili, taasisi lazima iwe na watu wenye kifua.
 
Habari kuwa Manara anafungiwa zilikwishajulikana mtaani na hata mwenyewe alijua, swali alijuaje, nani anavujisha siri za TFF, secretariat iliangalie hili,
Nafikiri zilitoka kwa mkakati maalum ili kuangalia reaction za wadau huku nje.

Za Makata zilivuja?
 
Hayati Magufuli anakujage hapa, unataka niende TCRA nikakushughulikie? Subiri bas
 
Asante kwa kumbukumbu.na kupitia comment hii pamefungwa hapa rasmi
 
Sasa ata watoa wapi wasio Yanga au Simba?
 
Reactions: BRB
Sasa mbona karia mwenyewe ni smba na coastal
 
Usihangaike na Simba SC, n'gombe wa mayele hajala siku ya tatu leo Dsm hakuna majani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…