Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Huyo Elon musk ni mwafrikaIla kwanini Africa hakunaga magenius kama kina Elon Musk
Una uhakika ni genius Kama unavyofikiria weweIla kwanini Africa hakunaga magenius kama kina Elon Musk
Africa hakuna genius aiseeUna uhakika ni genius Kama unavyofikiria wewe
We unamuona Africa wala hajachukua akili zenuHuyo Elon musk ni mwafrika
Hivi watu wanaelewa kweli namna miradi mikubwa ya kisayansi inavyofanyika? Hiyo miradi ina timu za Aeronautical Engineers, Aerospace Engineers, Mechanical Engineers, Electrical Engineers, Software Engineers, Robotics Engineers na wanasayansi wa kada mbalimbali. Kuna watu wanakesha maabara, wengine wanafanya calculations, wengine wanadesign mifumo, wengine wanapima vifaa na wengine wanatatua matatizo ya kiufundi kila siku.
Elon Musk anaweza kuwa mwekezaji, kiongozi, mfadhili wa mradi na hata kushiriki kwenye maamuzi muhimu ya kiufundi, lakini haimaanishi kwamba yeye ndiye anayekaa na ku design vitu
Africa hakuna genius aisee
Yani hado unauliza nina uhakika gani kumanisha huoni anayofanya😅
We unamuona Africa wala hajachukua akili zenu
Africa hakuna genius aisee
Yani hado unauliza nina uhakika gani kumanisha huoni anayofanya😅
We unamuona Africa wala hajachukua akili zenu
Ili angalau hata upate mtoto wake.Mtu kama Elon musk akiniita naenda tu kwa nauli yangu😹😹sio kwa akili izi
🤣🤣🤣Eti huenda angefungishwa bomu
Eeeh ata asipolea hakuna tatizo🤣🤣Ili angalau hata upate mtoto wake.
Sitaki kujua nataka kuona matokeoKumbe hata hujui jinsi miradi hii inafanywa hatua kwa hatua
Eeeh ata asipolea hakuna tatizo🤣🤣
Huo sio ugenius na uratibu wa mda mrefu na mipango na uhadaa.!Ila kwanini Africa hakunaga magenius kama kina Elon Musk
Mzungu yupo very smart katika kuhakikisha akili za muafrika zinadumaa kwa kutumia njia nyingi.Ila kwanini Africa hakunaga magenius kama kina Elon Musk