Wallah Wabillah leo nimeamini baada ya Mungu, Mzungu

Yeye ndiye mbeba maono, yeye anaona Gari kama hii ikiwa inapaa kabla Wataalam wengine hawajahusika Kwa chochote...!
 
Yeye ndiye mbeba maono, yeye anaona Gari kama hii ikiwa inapaa kabla Wataalam wengine hawajahusika Kwa chochote...!

So tunapomuita Elon Musk genius, tunapima uwezo wake binafsi wa kisayansi, uwezo wake wa biashara, au mafanikio ya maelfu ya wahandisi wanaofanya kazi chini yake?
 
It doesnt matter. Kwa nini asifanye Dangote au Mo Dewj? Kuweza tu wakusanya hao tayari ni ujiniazi. Unawaambia watu nataka 1,2,3 then unaanza kusanywa wahusika. Au kwanini baba yako hajawakusanya na yeye?
Muulize lingekuwa ni suala la kukusanya tu , hata Bongo watu wanakusanywa kama alivyokusanywa Makonda and his likes.
 
Yaani sijui hawa watu wanawaza vipi vitu vya kawaida kabisa vinavyotumia principles za physics wao wa nashangaa mpaka wanamsujudu Elon hahah
Principles za Physics we hukuwa ukizijua? Mbona hujatumia? Au kukwea mnazi kwa mkono mmoja ndo unaona principle ya physics? Acha wivu wa kike dogo.
 
Muda wote tunawaza mbunye na mihogo, lishe duni, umasikini na ushamba.

Ukiwa mshamba automatikale unashindwa kuwa genius.

Kabisa kuna member mmoja humu baba yake alichoweza kugundua ni kukwea mnazi kwa mkono mmoja kwa kutumia vaseline iliyopashwa moto kidogo. Yupo hapa anamponda Elon Musk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…