Wallah Wabillah leo nimeamini baada ya Mungu, Mzungu

Mkuu hapa umedhihirisha kile unachokifahamu na kilichowekezwa kwa muda mrefu academically kwenye ubongo wako. Kwenye mifumo ya uongozi tungekuwa na watu wanayoyajua kama unayoyajua wewe na wakaamua kuimplememt what they know tungekuwa mbali sana. Nadhani shida unaijua nchini kwetu haha, tusiongee sana maana yanauma kwakweli....
 
Kwa kua kombora za Iran zinatua direct to the target tel aviv pale hadi MASHOGA wanakimbiana basi sifa tumpe Mojtaba Khomeini?😅😆🤣

Unazungumzia marehemu Hayatollah? Mojtaba anaishi kwenye mashimo sasa kama panya. Iran hali tete ipo hoi. Mademu tu walienda watia vidole wairan kwao mule mule. Ukiacha kuuliwa kama kuku kwa paggers. Unafahamu Hayatollah mwingine alikufa kma panya aloyedondoshewa tofali?
 

Asante sana kwa ufafanuzi kaka Sema me kujadili maada kwa sasa Jf Kama hizi kumejaa utoto unakuta inatoa maada mtu anaanza kuku attack personal hivi ndio great thinkers wanapaswa kujibu….fuatilia kaka replies za mwanzo nimejibu nachokiamini ila angalia majibu niliyopewa
 
Waliwadanganya wapi? Nani kawazuia kusoma masomo ya sayansi? Ni ujinga kutafuta wa kulaumu. Waliogundua vitu wa hapa wapo wapi?

Shytown unaona kaka uwezo wa mtu unagundua tu hata utulivu Hana …mwanzoni nilikuwa hivi pia Ila kutoka Tanzania na kuja nje kupata exposure hakika nimekuwa mtulivu sana na mtu wa kuelewa haraka
 
Shytown unaona kaka uwezo wa mtu unagundua tu hata utulivu Hana …mwanzoni nilikuwa hivi pia Ila kutoka Tanzania na kuja nje kupata exposure hakika nimekuwa mtulivu sana na mtu wa kuelewa haraka
kuna member mmoja humu baba yako alichoweza kugundua ni kukwea mnazi kwa mkono mmoja kwa kutumia vaseline iliyopashwa moto kidogo. upo hapa anamponda Elon Musk.
 
Mtu kama Elon musk akiniita naenda tu kwa nauli yangu😹😹sio kwa akili izi
Na kashawazalisha wanawake wanne watoto 14.
Kapita nao wengi sana.
Ukienda anaichapa tu mwanzo mwenga hachagui naniliu.
Mchagua jembe si mkulima.
 
Usilolijua huyo kwao SA. Sema alishtuka mapema akakimbilia USA
Myahudi huyo wazazi wake waliishi Afrika lakini tusidanganyane kuwa ni mwafrika?
Mwafrika wa aina gani ana ngozi na nywele kama zile?
 
kila linaloendelea duniani lipo hapa Dini rasmi inaitwa the Omnitheistic Singularity jina la Mungu na kitabu kikuu ni Omnipotent Singularity. Imeandaliwa na IIT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…