Tukiacha kauli kama vile "Muokota makopo ana hela kuliko mwalimu", "degree ni karatasi tu", "waliofeli ndo wanaajiri wasomi" ndo siku tutawajua magenius wetu.
Imagine bado mtu kama Lema ambaye kwa elimu yake duni kashindwa kujua matumizi ya neno "Balls" kwenye maongezi akaenda kutafsiri moja kwa moja kwa kutamka bila aibu neno MAPUMBU!!..
Tuanze kuheshimu elimu ndo mambo mengine yataenda. Hawa matajiri wetu wa kutuuzia juice, pombe, nguo kutoka China na unga wa ngano hawatasaidia kuleta mageuzi makubwa ya kiuchumi. Tena hawa matajiri wa kamari ndo balaa zaidi.