Wallece Karia Kwa ili ujitafakari

Wallece Karia Kwa ili ujitafakari

kahembe

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2015
Posts
227
Reaction score
310
RAIS WA TFF Wallece Karia ujitafakari...maana najua utakuja jujuuuu Kwa ukali ila ili kulinda heshema Yako ungekaa pembeni maana hautokuwa wa kwanza kujihudhuru...Mfano ni waziri mkuu wa Canada , Waziri mkuu wa Uingereza Johnson Borrison na Rais wa Korea kusini ....walijihudhuru na maisha yanaendelea
 
TFF ni sanamu- figure heads
 
Mimi simshauri ajiudhuru. Mpira wa Tanzania unahitaji FACTORY RESET.

Simba na Yanga zinahitaji kuwa treated the same way mnavyowatreat wakina Mashujaa. Wapangeni saa nane mchana, wakighushi sahihi ya mchezaji wapigeni adhabu. Busara ndio zimetufikisha hapa.

Mnaweza mkaanza kujirekebisha kwenye hili la juzi. Awe Yanga awe Simba kakosea shusheni adhabu ya maana ili siku mwingine akifikiria kufanya upuuzi kama ule ajifikirie mara mbili.
 
RAIS WA TFF Wallece Karia ujitafakari...maana najua utakuja jujuuuu Kwa ukali ila ili kulinda heshema Yako ungekaa pembeni maana hautokuwa wa kwanza kujihudhuru...Mfano ni waziri mkuu wa Canada , Waziri mkuu wa Uingereza Johnson Borrison na Rais wa Korea kusini ....walijihudhuru na maisha yanaendelea
Hakuna mtu useless kama huyu jamaa, nashauri serikali imkamate na kumfunga mara moja. Hana faida yeyote na mpira wetu, si huyu wala Tenga aliyepita. Hawa wote ni useless leaders tu.
 
RAIS WA TFF Wallece Karia ujitafakari...maana najua utakuja jujuuuu Kwa ukali ila ili kulinda heshema Yako ungekaa pembeni maana hautokuwa wa kwanza kujihudhuru...Mfano ni waziri mkuu wa Canada , Waziri mkuu wa Uingereza Johnson Borrison na Rais wa Korea kusini ....walijihudhuru na maisha yanaendelea
Umetaja watu ambao wakubwa sana wamejiuzuru alafu ukafananisha na sehemu ambayo hata muelekeo uwezi kuwa kipaumbele.
 
Back
Top Bottom