Wallece Karia nyumba yako ni ya vioo usitupie watu mawe.

Wallece Karia nyumba yako ni ya vioo usitupie watu mawe.

ebaeban

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Posts
2,205
Reaction score
2,697
Tumekusia juzi kwenye mkutano maneno uliyosema kuhusu ndugu yetu aliyeumizwa na risasi 32. Ila nakukumbusha yaliyomkuta mwenzio Alhaji Omary Juma wa Yanga . Una nyumba ya vioo halafu unaanza kutupia wapita njia mawe
Wallece Karia kiti kitakuwa kichungu hicho!!!!
 
Back
Top Bottom