Wallet wallet wallet!!!!!!!!!!!!!!!!!!!


...Men vs Women,



...wants, needs and desires!
 
SASA KAMA KINANILII CHAKE NDO KITEGA UCHUMI CHAKE why ashangalie mawalet ya watu kwenye bar???
 
I wish wadada wangeona wallet yangu.

Imetuna mihela, Kubwa uspime,

tatizo

natembea na hela za bosi.
 
I wish wadada wangeona wallet yangu.

Imetuna mihela, Kubwa uspime,

tatizo

natembea na hela za bosi.

tena kama ni za boss ndio usiombee kabisa wazione maana machangu wazoefu wana kila mbinu ya kuzichukua.
 
SASA KAMA KINANILII CHAKE NDO KITEGA UCHUMI CHAKE why ashangalie mawalet ya watu kwenye bar???

Haahahahahaahaa kweli aisee hili nalo neno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…