Wallet ya kijana wa Marekani vs kijana wa Kitanzania

Wallet ya kijana wa Marekani vs kijana wa Kitanzania

Issuna

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
3,203
Reaction score
7,628
1. Visa Card
2. Driving License
3. Hela ya matumizi

Wallet ya kijana wa Kitanzania

1. ATM card ya NMB
2. ATM card CRDB
3. Kitambulisho cha Taifa
4. Leseni
5. Kadi ya mpiga kura
6. Business card kama 15
7. Hela ya matumizi

Pochi ya binti wa Kimarekani

1. Visa card
2. Driving License
3. Business Card 3 muhimu
4. Hela ya matumizi

Pochi ya binti wa Kitanzania

1. Tissue
2. Toilet Paper
3. Always
4. Lip bam
5. Lip shiner
6. Kioo kilichopasuka
7. Wanja
8. Foundation
9. Lotion
10. Deodorant
11. Vaseline ya mgando kakopo kadogo
12. Toothpick
13. Miwani kuuubwa
14. Leso 3
15. Kufuli (umeelewa namaanisha ipi)
16. Line za simu kama 6
17. Kanga
18. Mtandio
19. Wigi
20. Hela za matumizi (NATANIA TU)
21. ATM card (hajui password)
22. Chaja ya simu
23:Chanuo
24. Pafyum
25. Pipi, chocolate, bublish
26. Viatu
27:Rangi za kucha
28. Hereni
29. Kibanio cha nywele
30. Night dress
31. Power bank
32. Powder

Ukimaindi naongeza vingine....
 
Umesahau na ndoo,sabuni,dodoki,kopo la kuogea,mswaki,dawa ya meno,kibeba nyonyo,shuka,foronya,...
Vyote hivyo tunabeba na kwa kukumbusha tuu kwenye kikao cha mwisho cha wanawake wa kibongo tulikuwa na ajenda ya kubeba na kitanda kabisaa pamoja na godoro lake kwa ajili ya dharula,.popote pale iwe kambi..

Ahsante.
 
Hahahah...nimecheka saana.

Tunapenda lubeba Ila dada zetu wanapenda kubeba bwana wametuzidi hahaha.

Utakuta mdada kabeba simi ila ikiita hajui ilipo ila anayo. Kuna hivi vibegi vya sikuhizi vidogo, vikubwa vyake, vikubwa vikubwa zaidi kidogo na yale makubwa.

Simu inawekwa kwa kale kadoogo ambako kapo ndani ya vibegi vingine vidogo viwili ndani ya likubwa limoja.
 
Wallet yakijana wakitanzania
8. Condom hasa kwa wale ambao bd hawaoa
9. passport size hapa utakuta yake,yababa na ya mama kama ameoa hapa itaongezeka yamkewe nakama anawatoto zitaongezena nazawatoto
10. Mkeka wa betting
11. Kwa bush bush huwez kosa nakapower Bank, sio yakuchajia simu wabush wamelewa
 
Hotuba za Mwanasiasa wa Tanzania:-

+ Wacheza ngoma,
+ viongozi wa dini.
+ wapiga push ups
+ wavaa sare za chama
+ viongozi wa sifa/praise team

Na hapo ni uzinduzi wa bomba la maji
 
Umesahau na ndoo,sabuni,dodoki,kopo la kuogea,mswaki,dawa ya meno,kibeba nyonyo,shuka,foronya,...
Vyote hivyo tunabeba na kwa kukumbusha tuu kwenye kikao cha mwisho cha wanawake wa kibongo tulikuwa na ajenda ya kubeba na kitanda kabisaa pamoja na godoro lake kwa ajili ya dharula,.popote pale iwe kambi..

Ahsante.
Dah umefanya siku yangu iishe vizuri sana 😁😁😅😅
 
Umesahau na ndoo,sabuni,dodoki,kopo la kuogea,mswaki,dawa ya meno,kibeba nyonyo,shuka,foronya,...
Vyote hivyo tunabeba na kwa kukumbusha tuu kwenye kikao cha mwisho cha wanawake wa kibongo tulikuwa na ajenda ya kubeba na kitanda kabisaa pamoja na godoro lake kwa ajili ya dharula,.popote pale iwe kambi..

Ahsante.
Umenifurahisha Sana mkuu[emoji1787] ila nyie wanawake wa tz Hamshindwi[emoji125]
 
Back
Top Bottom