Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
wadau wa soka moja kati ya vitu ambavyo naona ligi yetu tanzania inakosa ni walpaper za kutumia kwenye simu au pc. nimeanzisha hii thread kwa muda wangu ambao nipo free nitatengeneza walpaper za vilabu mbali mbali hapa tanzania na kwa kuanza leo nitaeka ya azam halafu simba na yanga zitafuatia. challenge kubwa ninayopata hakuna picha za wachezaji zenye quality kubwa kama kuna mtu anafahamu source ninayoweza kuapata anaweza kunisaidia kwa kunipa link.
azam fc walpaper ya simu
azam fc walpaper ya simu