Morning_star JF-Expert Member Joined Apr 21, 2018 Posts 6,042 Reaction score 17,320 Jun 14, 2024 #1 Hatujasema maombi sio muhimu! Maombi ni ya kiroho! Lakini roho iko ndani ya mwili! Na mwili una mahitaji yake kama chakula, mavazi, na malazi! Ebu tuwe na busara! Attachments Ukweli.jpg 131.9 KB · Views: 3
Hatujasema maombi sio muhimu! Maombi ni ya kiroho! Lakini roho iko ndani ya mwili! Na mwili una mahitaji yake kama chakula, mavazi, na malazi! Ebu tuwe na busara!