Walowahi kusoma, kufanya kazi au kuishi Ulaya na viunga vyake naombe kuyafahamu mambo haya

Munch wa annabelletz47

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2019
Posts
1,885
Reaction score
3,227
TAHADHARI :Kama ujawahi kufika Ulaya usicomment kwenye huu uzi. WAKUU nipo najianda kusaka full funded Scholarship Nchi za Ulaya, sasa nilikua naomba muongozo wa nchi za ya kwenda na maisha ya upambanaji yapoje huko yani kazi nje ya masomo na malipo kwa ujumla.

Mambo ya kufanya na kutokufanya kwenye nchi za watu ambao uku kwetu ni mambo ya kawaida kabsa, pia njia mbalimbali za kujinasua na kunufaika nakukaa huko ughaibuni kama biashara na kadhalika.
 
Mimi niliwai ishi mitaa ya Massachusetts state....ukitaja Massachusetts state ni jiji lenye VYUO vingi Sanaa mitaa ya sandwich road nimekaa Sana pale Braintree

Angalizo
Watu wasije tuletea hekaya za BILLIONAIRE LUGANO (Bill LUGANO) a.k.a KIDUKULILO 😀😊 Naomba kuwasilishaa
 
TAHADHARI :Kama ujawahi kufika Ulaya usicomment kwenye huu uzi. WAKUU nipo najianda kusaka full funded Scholarship Nchi za Ulaya, sasa nilikua naomba muongozo wa nchi za ya kwenda na maisha ya upambanaji yapoje huko yani kazi nje ya masomo na malipo kwa ujumla.

Mambo ya kufanya na kutokufanya kwenye nchi za watu ambao uku kwetu ni mambo ya kawaida kabsa, pia njia mbalimbali za kujinasua na kunufaika nakukaa huko ughaibuni kama biashara na kadhalika.
😅😅😅😅 Mbona kama umeanza na manyanyaso?
 
Back
Top Bottom