Walter Bwalya asajiliwa Al Ahly

Walter Bwalya asajiliwa Al Ahly

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Jamaa alitoka Nkana akaenda timu ndogo huko Egypt kagongesha magoli hadi ma-giants wamemchukua.

Hongera sana Bwalya naona ndugu yetu Okwi huko Al Itihad hata namba ni shida kupata.

bwalya.jpg
 
Hatari sana huyu jamaa, Msimu wake wa kwanza tu alitupia goli 13......Inasemekana aliikataa ofa ya Panathinaikos ya Greece baada ya kupewa offer na Al Ahly.
 
Jamaa alitoka nkana akenda ka team kadogo huko egypt kagongesha magoals hadi ma giants wamemchukua,hongera sana Bwalya naona ndugu yetu okwi huko al itihad hata namba ni shida kupata
View attachment 1664289
Kuna Mijitu mingine ni Mipuuzi haina mfano JF. Sasa Walter Bwalya Kusinya ( Kusajili ) Al Ahly Kwetu Sisi Watanzania ndiyo Breaking News kweli?
 
Kwani huyu jamaa mtanzania?? Nilijua mzambia. Au ameshawahi cheza hapa Bongo?
 
Mashabiki wa yanga badala mjenge timu yenu na wachezaji wenu mnabakia kushadadia timu na wachezaji wasiowahusu.
Mara muwapokee Nkana, As vita,Al ahly, plateau n.k.
Sa kusajiliwa kwa Bwalya ambaye hana historia na soka la bongo unaleta humu ili iweje.
 
Kwa hiyo mnataka kusema Bwalya wetu tumepigwa ?
 
Bongo bhana mtu kutoa taarifa za Bwalia ishakuwa kesi kila kukicha kuongelea wachezaji wa ulaya na hawana historia na bongo
 
Huyu jamaa ilisemekanata anakuja kwa wananchi mikia wakakurupuka wakachanganya majina wakasajili lile garasa
Yaani Walter Bwalya aende Yanga? Muwe serious kidogo jamani
 
Yaani Walter Bwalya aende Yanga? Muwe serious kidogo jamani
kaka nasoma hapa comments nashangaa hawajui last time Rally bwalya alimtoa chama chipololo,baada ya kulogwa Rally alirudi kwao last month karudi mechi mbili zilizopita umeona mziki wake na tarehe 6 utauona zaidi
 
Kama Ntibanzokiza mwenye CV kubwa anacheza Yanga. Walter Bwalya ni nani?
CV kubwa zamani, huyo amesajiliwa kutoka Vital'o. Walter Bwalya ametoka Zambia akaenda Misri, eti aende Yanga!
 
Mashabiki wa yanga badala mjenge timu yenu na wachezaji wenu mnabakia kushadadia timu na wachezaji wasiowahusu.
Mara muwapokee Nkana, As vita,Al ahly, plateau n.k.
Sa kusajiliwa kwa Bwalya ambaye hana historia na soka la bongo unaleta humu ili iweje.
Unadhalilisha hiyo picha ya kwenye avatar yako? Maana una mawazo mgando sana wewe jamaa tofauti na huyo jamaa kwenye avatar.
 
Back
Top Bottom