njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Kuna Mijitu mingine ni Mipuuzi haina mfano JF. Sasa Walter Bwalya Kusinya ( Kusajili ) Al Ahly Kwetu Sisi Watanzania ndiyo Breaking News kweli?Jamaa alitoka nkana akenda ka team kadogo huko egypt kagongesha magoals hadi ma giants wamemchukua,hongera sana Bwalya naona ndugu yetu okwi huko al itihad hata namba ni shida kupata
View attachment 1664289
Grand, grandoldman Okwi afanyeje sasa?Jamaa alitoka nkana akenda ka team kadogo huko egypt kagongesha magoals hadi ma giants wamemchukua,hongera sana Bwalya naona ndugu yetu okwi huko al itihad hata namba ni shida kupata
View attachment 1664289
Duh, kwa hiyo Habari za wanasoka wote zinazowekwa humu wanahistoria na soka la bongo?Sa kusajiliwa kwa Bwalya ambaye hana historia na soka la bongo unaleta humu ili iweje.
Watu wana frustrations sanaDuh, kwa hiyo Habari za wanasoka wote zinazowekwa humu wanahistoria na soka la bongo?
Yaani Walter Bwalya aende Yanga? Muwe serious kidogo jamaniHuyu jamaa ilisemekanata anakuja kwa wananchi mikia wakakurupuka wakachanganya majina wakasajili lile garasa
kaka nasoma hapa comments nashangaa hawajui last time Rally bwalya alimtoa chama chipololo,baada ya kulogwa Rally alirudi kwao last month karudi mechi mbili zilizopita umeona mziki wake na tarehe 6 utauona zaidiYaani Walter Bwalya aende Yanga? Muwe serious kidogo jamani
Kama Ntibanzokiza mwenye CV kubwa anacheza Yanga. Walter Bwalya ni nani?Yaani Walter Bwalya aende Yanga? Muwe serious kidogo jamani
.Kwa Kw ukiwa na CV ndogo ndo hupaswi kusajiliwa kwingine?Kama Ntibanzokiza mwenye CV kubwa anacheza Yanga. Walter Bwalya ni nani?
CV kubwa zamani, huyo amesajiliwa kutoka Vital'o. Walter Bwalya ametoka Zambia akaenda Misri, eti aende Yanga!Kama Ntibanzokiza mwenye CV kubwa anacheza Yanga. Walter Bwalya ni nani?
Unadhalilisha hiyo picha ya kwenye avatar yako? Maana una mawazo mgando sana wewe jamaa tofauti na huyo jamaa kwenye avatar.Mashabiki wa yanga badala mjenge timu yenu na wachezaji wenu mnabakia kushadadia timu na wachezaji wasiowahusu.
Mara muwapokee Nkana, As vita,Al ahly, plateau n.k.
Sa kusajiliwa kwa Bwalya ambaye hana historia na soka la bongo unaleta humu ili iweje.