Walter Chilambo kuimba gospel Gudluck ajiandae kukimbiza upepo

johnsonmgaya

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
2,818
Reaction score
3,730
Jamaa na nyimbo mbili za gospel nizijuazo mm ila zote kali hasa hii ya juzi la Christmas nahisi mkali gudluck Gosbert ajikaze sana na akaze mkanda
Walter hajawahi kukosea ni bahati tu hana....
 
Walter ameanza vizuri gudluck anatakiwa abadishe uandishi wake nyimbo zake nyingi zinataja watu kuliko Mungu mf; kumbe ni haohao nimesamehe ipo siku hacha waambizane ni kama vile ni nyimbo za malalamiko
 
saw,ila ajitaid san umemwona gudlucky wa kwnye wmbo aloshrikishwa na mariam nimemwona bwana.hapan ase gozbert yupo vzur!
 
Huku kuwashindanisha wasanii hadi lini? Huku ndiko kunaua muziki. Kwani usingeweza kumsifia Walter bila kumhusisha Gozbert!!!!
No success without challenge
Hujiulizi kwa nini cjawamlinganisha Gosbert na gospel singer yyte? jibu ni kwakuwa alikuwa peke yake mwenye style ile so kuja kwa walter nikama kumpa challenge pale alipo akaze mkanda.
Hata ww bosi wako akikwambia kesho anakuja mfanyakazi mwingine kwenye nafasi yako kwakuwa umeanza kubweteKA hutokaza?
 
saw,ila ajitaid san umemwona gudlucky wa kwnye wmbo aloshrikishwa na mariam nimemwona bwana.hapan ase gozbert yupo vzur!
Cjauona ngoja niutafute, hapa lengo ni kwamba anatakiwa ajue kuwa amepata mpinzani na akaze abaki hapo alipo au aende juu zaidi
 
saw,ila ajitaid san umemwona gudlucky wa kwnye wmbo aloshrikishwa na mariam nimemwona bwana.hapan ase gozbert yupo vzur!
Cjauona ngoja niutafute, hapa lengo ni kwamba anatakiwa ajue kuwa amepata mpinzani na akaze abaki hapo alipo au aende juu zaidi
 
Walter ameanza vizuri gudluck anatakiwa abadishe uandishi wake nyimbo zake nyingi zinataja watu kuliko Mungu mf; kumbe ni haohao nimesamehe ipo siku hacha waambizane ni kama vile ni nyimbo za malalamiko
Hahaha hata mimi nimeliona hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…