Ni sahih,pia waleng kukuza muzik wa injili wasije wakaja tubadlishia kuleta mashair y bongfleva.Cjauona ngoja niutafute, hapa lengo ni kwamba anatakiwa ajue kuwa amepata mpinzani na akaze abaki hapo alipo au aende juu zaidi
Mzinzi ni nan?Uzinzi na uimbaji Je? vina randana?
KUSEMA KWELI MIMI SIONAGI KAMA NYIMBO ZA HUYO GUDLUCK NI GOSPEL NAONAGA KAMA TU BONGOFLEVA TU, MANA ZIKO KIDUNIA ZAIDI KULIKO KUMTUKUZA AU KUMUOMBA MUNGUWalter ameanza vizuri gudluck anatakiwa abadishe uandishi wake nyimbo zake nyingi zinataja watu kuliko Mungu mf; kumbe ni haohao nimesamehe ipo siku hacha waambizane ni kama vile ni nyimbo za malalamiko
Kwenye kumuimbia Mungu hakuhitajiki wala hakuna challenge yoyote kila mtu afanye kama ambavyo amebarikiwa na kila mmoja atasikilizwa mana point ni kumtukuza Mungu na sio kushindana nani ana sauti nzuri sijui nani anaweza sana, hayo ma challenges ni ya huku kwenye ya kidunia kina diamond na kibaNo success without challenge
Hujiulizi kwa nini cjawamlinganisha Gosbert na gospel singer yyte? jibu ni kwakuwa alikuwa peke yake mwenye style ile so kuja kwa walter nikama kumpa challenge pale alipo akaze mkanda.
Hata ww bosi wako akikwambia kesho anakuja mfanyakazi mwingine kwenye nafasi yako kwakuwa umeanza kubweteKA hutokaza?
Akataye mauno hadharani na kubenua makalio🙂Mzinzi ni nan?
Unafikiri wanaimba kama karama? wachache sana wanafanya hvo ila wengi wanaimbia pesaKwenye kumuimbia Mungu hakuhitajiki wala hakuna challenge yoyote kila mtu afanye kama ambavyo amebarikiwa na kila mmoja atasikilizwa mana point ni kumtukuza Mungu na sio kushindana nani ana sauti nzuri sijui nani anaweza sana, hayo ma challenges ni ya huku kwenye ya kidunia kina diamond na kiba
Jamaa ana visasi sana. Nadhani alishawahi kupigwa vibuti vya kutosha na kwa utunzi huu afiki mbali atawaimba maadui zake wote wakiisha sijui anatakuja na kitu gani tena maana vijembe vitakuwa vimekwisha.Walter ameanza vizuri gudluck anatakiwa abadishe uandishi wake nyimbo zake nyingi zinataja watu kuliko Mungu mf; kumbe ni haohao nimesamehe ipo siku hacha waambizane ni kama vile ni nyimbo za malalamiko
Zimejaa manung'uniko na vijembe tuuuu, kuna ule anaimba anabinua binua midomo km waimba taarabu.KUSEMA KWELI MIMI SIONAGI KAMA NYIMBO ZA HUYO GUDLUCK NI GOSPEL NAONAGA KAMA TU BONGOFLEVA TU, MANA ZIKO KIDUNIA ZAIDI KULIKO KUMTUKUZA AU KUMUOMBA MUNGU
Waache wafanye kazi ya Mungu kila mmpja kwa nafasi yake, hayo mashindano yako nafsini mwako, usilazimishe kila mmoja aone hivyo.No success without challenge
Hujiulizi kwa nini cjawamlinganisha Gosbert na gospel singer yyte? jibu ni kwakuwa alikuwa peke yake mwenye style ile so kuja kwa walter nikama kumpa challenge pale alipo akaze mkanda.
Hata ww bosi wako akikwambia kesho anakuja mfanyakazi mwingine kwenye nafasi yako kwakuwa umeanza kubweteKA hutokaza?
Diamond ana tuaribia vijana wetu...Zimejaa manung'uniko na vijembe tuuuu, kuna ule anaimba anabinua binua midomo km waimba taarabu.
Hizi gospel za kizazi kipya balaa tupu.
Ukisikiliza wimbo wa nimesamehe ni kama kuna watu walimsusa wakati akiwa mdogo sasa baadae ya mafanikio wanamtafuta na hii imeathiri uandishi wake wa nyimboJamaa ana visasi sana. Nadhani alishawahi kupigwa vibuti vya kutosha na kwa utunzi huu afiki mbali atawaimba maadui zake wote wakiisha sijui anatakuja na kitu gani tena maana vijembe vitakuwa vimekwisha.