Walter Mondale, aliyekuwa Makamu wa Rais wa Marekani, afariki dunia

Walter Mondale, aliyekuwa Makamu wa Rais wa Marekani, afariki dunia

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Makamu wa Rais wa zamani wa Marekani Walter F. Mondale, Mliberali ambaye alishindwa uchaguzi wa urais uliopuuzwa baada ya kuwaambia wazi wapiga kura kwamba watarajie ongezeko la alifariki dunia siku ya Jumatatu. Alikuwa na miaka 93.

Mondale alihudumu katika jimbo la Minnesota kama mwanasheria mkuu, seneta . Alifuata nyayo za mwalimu wake wa kisiasa Hubert H. Humphrey kwenye umakamu rais akiwa chini ya Jimmy Carter kuanzia mwaka 1977 mpaka 1981.

Jaribio la Mondale kwenda Ikulu, lilikuwa mnamo 1984, lilikuja kwenye kilele cha umaarufu wa Ronald Reagan. Katika siku ya uchaguzi, alishinda kwenye jimbo lake la nyumbani tu na District of Columbia.

Mondale aliweka historia tofauti mwaka huo kwa kumchagua mgombea mwenza wa kwanza mwanamke katika chama kikubwa cha siasa Geraldine Ferraro.

1618899291538.png
 
Walter Mondale was of Italian ancestry and couldn't be elected president of the United States. Rip.
 
Back
Top Bottom