ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Sijui kama hii stori iliwahi kuletwa humu jf mbaba anaitwa Walter Summerford ndio Mwanaume anaeshikilia rekodi ya kupigwa radi tatu akiwa hai na moja kaburini kwake.
Walter ambae alikua Afisa wa Uingereza alipigwa radi mara 3 tofauti wakati wa uhai wake na wala hazikumuua, baadaye alifariki kwa sababu nyingine tu na baada ya kuzikwa kaburi lake pia lilipigwa radi.
Walter alipigwa radi ya kwanza mwaka 1918, miaka 6 mbele mwaka 1924 akapigwa tena radi, miaka sita mingine mbele 1930 akapigwa tena radi, baadaye alifariki mwaka 1932 na ilipofika mwaka 1936 kaburi lake likapigwa pia radi.