Whitney Houston
JF-Expert Member
- Jan 5, 2019
- 216
- 404
Wadau kwema? Naomba kuuliza,wale ambao walituma maombi ya kujiunga na kozi za veta kwa udhamini wa samia mwezi Feb mwaka huu matokeo ya yameshatangazwa?
tangazo lilisema masomo yataanza kesho march3 lakini mpaka muda huu kimya hakuna update yoyote.
tangazo lilisema masomo yataanza kesho march3 lakini mpaka muda huu kimya hakuna update yoyote.