Wadau kwema? Naomba kuuliza,wale ambao walituma maombi ya kujiunga na kozi za veta kwa udhamini wa samia mwezi Feb mwaka huu matokeo ya yameshatangazwa?
tangazo lilisema masomo yataanza kesho march3 lakini mpaka muda huu kimya hakuna update yoyote.

Vyovyote tuu muhimu kueleweka maana wakati wa kuchukua fomu walikua wakiuliza "unataka fomu ya veta au hizi za samia?" Ukijibu ya veta basi maana yake utalipa masomo ukisema ya samia ndio ya bure hiyoooo