Hata Mimi najua si chuki.[emoji1][emoji1][emoji1]Ni kama tu watz mnavopenda kuwatania wasukuma na wanyakyusa. Watu wa aina zote Kenya huwa wanataniwa, lakini waluyha ni sana. Sidhani inafanywa kwa chuki ila ni kwasababu waluhya wenyewe huwa wanajivunia sana mila zao, miziki, vyakula na pombe zao za kitamaduni pia. Alafu wapo 'visible' sana kila sehemu Kenya na ni wapenda amani. Bure ingekuwa ni wengine wetu tunataniwa kiasi hicho pangechimbika sio mchezo.
[emoji1][emoji1][emoji1]Ni kama tu watz mnavopenda kuwatania wasukuma na wanyakyusa. Watu wa aina zote Kenya huwa wanataniwa, lakini sio zaidi ya waluyha. Utani huo huwa haufanywi kwa chuki ila ni kwasababu waluhya wenyewe huwa wanajivunia sana mila zao, miziki, vyakula na pombe zao za kitamaduni pia. Alafu wapo 'visible' sana kila sehemu Kenya na kawaida yao ni kwamba ni wapenda amani. Bure ingekuwa ni wengine wetu tunataniwa kiasi hicho, pangechimbika sio mchezo.
Waluya ndo akina Musalya Mudavadi?[emoji1][emoji1][emoji1]Ni kama tu watz mnavopenda kuwatania wasukuma na wanyakyusa. Watu wa aina zote Kenya huwa wanataniwa, lakini sio zaidi ya waluyha. Utani huo huwa haufanywi kwa chuki ila ni kwasababu waluhya wenyewe huwa wanajivunia sana mila zao, miziki, vyakula na pombe zao za kitamaduni pia. Alafu wapo 'visible' sana kila sehemu Kenya na kawaida yao ni kwamba ni wapenda amani. Bure ingekuwa ni wengine wetu tunataniwa kiasi hicho, pangechimbika sio mchezo.
MK254, shemeji zako watasema huna heshima hata kidogo. Omwami, ukiandika jina Ugali hakikisha inaanza na, 'U', herufi kubwa tafadhali. Tusizoeane. [emoji1] Huu mlo umetolewa hadi hit song!
Ndio, na aliyekuwa makamu wa rais, mwendazake Kijana Wamalwa, aliyekuwa waziri na baadaye makamu wa rais Moody Awori. Waziri Eugene Wamalwa, wanasiasa machachari Ababu Namwamba na Dr. Boni Khalwale na kinyangarika mwingine, aliyekuwa kinara wa muungano wa vyama vya upinzani, NASA, Moses Wetangula.Waluya ndo akina Musalya Mudavadi?
Hahaha! π Mungu wangu, hapa sasa ni siku ya kawaida kwao??? [emoji15] Hii shughuli wakishaimaliza itakuwa ni hatar, hapa lazima watacheua hadi dhambi zote. πHehehe!! Hapo kweli bila herufi 'U' kukuzwa ni ukosefu wa hesima, halaafu kunao Wasukuma Tz hutaniwa sana kwenye hili la Ugali, check picha zao...Hadi nahisi njaa sasa, ila hata mimi likija suala huu msosi wa 'Ukali' sipendi utani maana kawaida lazima niuchezee...
hawa watakuwa na undugu na wasukumaHahaha! π Mungu wangu, hapa sasa ni siku ya kawaida kwao??? [emoji15] Hii shughuli wakishaimaliza itakuwa ni hatar, hapa lazima watacheua hadi dhambi zote. π
Kijana Wamalwa Mzee wa totoz na kupenda cartoonNdio, na aliyekuwa makamu wa rais, mwendazake Kijana Wamalwa, aliyekuwa waziri na baadaye makamu wa rais Moody Awori. Waziri Eugene Wamalwa, wanasiasa machachari Ababu Namwamba na Dr. Boni Khalwale na kinyangarika mwingine, aliyekuwa kinara wa muungano wa vyama vya upinzani, NASA, Moses Wetangula.