Waluyha na msosi

Angalia hii nyimbo, inajibu maswali yako yote


edit: Naona Pingli-Nywee alishaipost lakini tazama tena kam ulikua haujaiona
 
Si wasukuma na waluhya tu hata wahaya hapa Tanzania wanakula sana. Ukiona sahani ya ndizi na senene anayokula Muhaya mmoja utashangaa, utafikiri ana wenzake 10 kumbe ni yeye tu na anamaliza na panzi wake wote hata mabawa habakizi. Wahaya wanakula sana na ni wachoyo wa asili.
 

Very true,
 
Una chuki binafsi siyo bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…