Wamaasai wanaporwa ardhi yao

Wamaasai wanaporwa ardhi yao

kikokoteo

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2024
Posts
615
Reaction score
933
Ukifuatilia historia yao enzi ya mkoloni, ardhi yao ilipunguzwa kwa asilimia 60 kwa upande wa Kenya na Tanzania kupisha makazi ya kudumu na kilimo kwa wazungu na leo ni waarabu.

Serikali hii ina mipango gani katika kuuza na kubinafsha rasimali na ardhi ya Tanganyika kwa kuingia mikataba ambayo hata kipofu hawezi kuingia mikataba ya ovyo ya kuuza mali ya Tanganyika, kesho tutasikia kuna mwarabu mwekezaji anataka kununua mlima Kilimanjaro na mlima Meru maana ilikuwa inaingizia Serikali hasara.

Ni hayo tu.
 
Back
Top Bottom