Ni kweli nadhani alishauriwa vibaya; alibeba ngao bila mkuki!WAMASAAI WAMESEMA MAVAZI ALIYOVAA *DIAMOND KATIKA TUZO HUKO BET NI MAVAZI YA KIKE.
Urembo aliovaa shingoni kuanzia alioubana na ulioning'inia ni mavazi ya wanawake wanaovuka rika*
Pia nguo aliyovaa ni yakike na haivaliwagi kama khanga au taulo kama umetoka kuoga.
Kitu pekee alichobeba cha kiume ni Sime na Ngao
Kikao ndio tumekimaliza na kilisimamiwa na *Leigwanan Selevie
Utalii wa Kupigwa miti labda.Alikuwa anatangaza utalii kwa jinsia zote ndio maana kawachanganyia.
Ngongo Am sure wamasai wamekurupuka kwakuwa Mond hakuvaa kimasai bali alivaa kisanii.. Wakumbuke hayakuwa maonesho ya kitamaduni bali ya kisanii ya kugombea tuzo za kimziki...Vile vionjo vyote ni kwa ajili ya usanii zaidi kuliko utamaduniWAMASAAI WAMESEMA MAVAZI ALIYOVAA *DIAMOND KATIKA TUZO HUKO BET NI MAVAZI YA KIKE.