Bila kuwa na utaratibu hivi sehemu za Handeni mpaka morogoro ambazo ni nzuri sana kwa kilimo zitabaki jagwa na uvamizi wa wamassai.
Hii ni kutokana na ukweli kwamba wamassai hawalishi ngombe kwa mpangilio na hawafuati masharti ya wataalamu.
Wamevamia kila mahali mpaka lindi ! Bila utaratibu mzuri miaka michache tu tutajuta.
Tatizo la wamassai sio kwamba wako wengi hapana tatizo kubwa ni ng’ombe ambazo haziongelewi lakini ndiyo tatizo kubwa sio watu Ngorongoro bali ni ng’ombe Ngorongoro 🤔! Sasa plan ya ng’ombe 1M iko wapi?!