Wamakonde na msiba

Kessy Hamisi

Member
Joined
Jun 25, 2012
Posts
24
Reaction score
8
Wamakonde fulani siku moja walikuwa kwenye roli wakielekea msibani...waliimba nyimbo mpaka zikaisha wakabaki wanaangaliana basi mara mmakonde mmoja akajichoma na msumari akaanza kulia ''MAMAAAA NCHUMARI UNENCHOMAAA WEEE!! wenzake wakajua mwenzao kaanzisha mwimbo wakaanza kuimba ''MAMAAA NCHUMARI UNENCHOMAAA
 
Me nakumbuka alivyochomwa akaanza kumuita dereva DEVERA CHIMAMICHA GALI NIMEKITWA NA NCHUMALI,wenzake wakawa wanaitiki wakijua mwimbo kumbe jamaa kweli kakitwa na nchumali
 
Shukuru nimepata mchumba toka Moshi, maeneo ya Soweto!!!!! Ningewachoma mkuchi mnitumbooo baaaaaahhhhh


@PJN at Mtwara Gas City
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…