Hata mi nilihisi hii kama remix, ile yenyewe ilibamba hadi umasaini huko,shukrani sana! na nafikiri hii ni remix aliitoa miaka ya 2000 kama sikosei......kuna ile ya miaka ya 90 aisee ni moto balaa!
kweli kabisaHata mi nilihisi hii kama remix, ile yenyewe ilibamba hadi umasaini huko,
Nimetafuta wimbo wa "chilambo cha Vene" hadi nimechoka.....
Tatizo la nyimbo zilizorekodiwa na vituo vya televisheni ni ngumu kuziona youtube! Huu wimbo ndhani waliurekodia ITV, (naomba kusahihishwa)
shukrani sana! na nafikiri hii ni remix aliitoa miaka ya 2000 kama sikosei......kuna ile ya miaka ya 90 aisee ni moto balaa!
Mkuu asante ssana ila sio huu wimbo ninaoutafuta! Wenyewe unakiitikio cha "Chilambo cha Vene" na kama sikosei shooting ya video yake kuna baadhi walikuwa makaburini!