Dulla Same
Member
- Sep 22, 2018
- 40
- 13
Hahaha poa poa nitakituliza ucjaliHata mie nimekukubali. Ntakupa dada angu, nyumba, pesa na gari. Ila ukitulize...
Kama we demu sio mbayaaisee kijana unataka tolewa posa uwekwe ndani au??
Kama we ndo dada unayenileteaga vipodozi ni sawaTatzo unajichubua asee
Usijiumize moyoThread umeleta wewe ila aibu nimeona mimi...
Yaniniweka namba
Sawa.. Nimekubari.. Na nashkru kwa kukubari kuwa unajichubua.Kama we ndo dada unayenileteaga vipodozi ni sawa
Nakubar najichubua ikiwa we ndo unanileteaga vipodoziSawa.. Nimekubari.. Na nashkru kwa kukubari kuwa unajichubua.
Sura ya pesaT shirt ya pink halafu na chain bado herini na pete tu uwe mke wa fulani.[emoji6][emoji1][emoji1] Halafu wamakonde wengi ninaowajua wanakuwa umoro.
Ndukiiiii [emoji125]ββοΈ[emoji125]ββοΈ[emoji125]ββοΈ
Nenda wwKwani fesibuku umefukuzwa?